إِنَّ ٱللَّهَ لَعَنَ ٱلْكَٰفِرِينَ وَأَعَدَّ لَهُمْ سَعِيرًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Mwenyezi Mungu amewalaani makafiri na amewaandalia Moto unaowaka kwa nguvu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Mwenyezi Mungu amewalaani makafiri na amewaandalia Moto unao waka kwa nguvu.