يَسْـَٔلُكَ ٱلنَّاسُ عَنِ ٱلسَّاعَةِ قُلْ إِنَّمَا عِلْمُهَا عِندَ ٱللَّهِ وَمَا يُدْرِيكَ لَعَلَّ ٱلسَّاعَةَ تَكُونُ قَرِيبًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWatu wanakuuliza habari ya Saa ya Kiyama. Sema: "Hakika elimu yake iko kwa Mwenyezi Mungu." Na nini kitakujulisha, pengine hiyo Saa iko karibu?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWatu wanakuuliza khabari ya Saa (ya Kiyama). Sema: Ujuzi wake uko kwa Mwenyezi Mungu. Na nini kitakujuvya? Pengine hiyo Saa iko karibu.