مَّلْعُونِينَ أَيْنَمَا ثُقِفُوٓا۟ أُخِذُوا۟ وَقُتِّلُوا۟ تَقْتِيلًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWamelaaniwa! Popote watakapoonekana, watakamatwa na watauliwa kabisa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWamelaanika! Popote watakapo onekana watakamatwa na watauliwa kabisa.