وَدَاعِيًا إِلَى ٱللَّهِ بِإِذْنِهِۦ وَسِرَاجًا مُّنِيرًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mwitaji kumwendea Mwenyezi Mungu kwa idhini yake, na taa yenye kutoa nuru.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mwitaji kumwendea Mwenyezi Mungu kwa idhini yake, na taa yenye kutoa nuru.