caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ahzaab, Aya 45

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 90 · 33:45

يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّبِىُّ إِنَّآ أَرْسَلْنَٰكَ شَٰهِدًا وَمُبَشِّرًا وَنَذِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterEwe Nabii! Hakika Sisi tumekutuma uwe shahidi na mbashiri na mwonyaji.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEwe Nabii! Hakika Sisi tumekutuma uwe shahidi na mbashiri na mwonyaji,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70