caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Sajda, Aya 8

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 75 · 32:8

ثُمَّ جَعَلَ نَسْلَهُۥ مِن سُلَٰلَةٍ مِّن مَّآءٍ مَّهِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kisha akajaalia uzao wake utokane na kizazi cha maji dhaifu yanayodharauliwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kisha akajaalia uzao wake utokane na kizazi cha maji madhaifu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70