caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Sajda, Aya 7

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 75 · 32:7

ٱلَّذِىٓ أَحْسَنَ كُلَّ شَىْءٍ خَلَقَهُۥ وَبَدَأَ خَلْقَ ٱلْإِنسَٰنِ مِن طِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmbaye ametengeneza vizuri umbo la kila kitu na akaanzisha kumuumba mtu kwa udongo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmbaye ametengeneza vizuri umbo la kila kitu; na akaanzisha kumuumba mtu kwa udongo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70