caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Luqman, Aya 4

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 57 · 31:4

ٱلَّذِينَ يُقِيمُونَ ٱلصَّلَوٰةَ وَيُؤْتُونَ ٱلزَّكَوٰةَ وَهُم بِٱلْـَٔاخِرَةِ هُمْ يُوقِنُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWale wanaoshika Swala, na wanatoa Zaka, nao wana yakini na Akhera.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWanao shika Swala, na wanatoa Zaka, nao wana yakini na Akhera.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70