caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Luqman, Aya 5

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 57 · 31:5

أُو۟لَٰٓئِكَ عَلَىٰ هُدًى مِّن رَّبِّهِمْ وَأُو۟لَٰٓئِكَ هُمُ ٱلْمُفْلِحُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHao ndio walio kwenye uongofu utokao kwa Mola wao Mlezi, na hao ndio waliofaulu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHao ndio walio na uwongofu utokao kwa Mola wao Mlezi, na hao ndio wenye kufanikiwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70