caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Room, Aya 59

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 84 · 30:59

كَذَٰلِكَ يَطْبَعُ ٱللَّهُ عَلَىٰ قُلُوبِ ٱلَّذِينَ لَا يَعْلَمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHivi ndivyo Mwenyezi Mungu anavyoziba kwenye nyoyo za wale wasiojua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHivi ndivyo Mwenyezi Mungu anavyo piga muhuri kwenye nyoyo za wasio jua.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70