caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Room, Aya 35

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 84 · 30:35

أَمْ أَنزَلْنَا عَلَيْهِمْ سُلْطَٰنًا فَهُوَ يَتَكَلَّمُ بِمَا كَانُوا۟ بِهِۦ يُشْرِكُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu tumewateremshia hoja ambayo inazungumza juu ya kile walichokuwa wakishirikisha nacho?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu tumewateremshia hoja ambayo kwayo ndio wanafanya ushirikina?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70