وَيُكَلِّمُ ٱلنَّاسَ فِى ٱلْمَهْدِ وَكَهْلًا وَمِنَ ٱلصَّٰلِحِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNaye atazungumza na watu katika utoto wake na katika utu uzima wake, na atakuwa katika walio wema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNaye atazungumza na watu katika utoto wake na katika utuuzima wake, na atakuwa katika watu wema.