caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Aal-i-Imraan, Aya 158

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 89 · 3:158

وَلَئِن مُّتُّمْ أَوْ قُتِلْتُمْ لَإِلَى ٱللَّهِ تُحْشَرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mkifa au mkiuliwa, basi ni kwa Mwenyezi Mungu ndiko mtakakokusanywa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mkifa au mkiuliwa ni kwa Mwenyezi Mungu ndio mtakusanywa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70