وَلِيُمَحِّصَ ٱللَّهُ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَيَمْحَقَ ٱلْكَٰفِرِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa pia ili Mwenyezi Mungu awasafishe walioamini na awafutilie mbali makafiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa pia ili Mwenyezi Mungu awasafishe walio amini na awafutilie mbali makafiri.