وَلَقَد تَّرَكْنَا مِنْهَآ ءَايَةًۢ بَيِّنَةً لِّقَوْمٍ يَعْقِلُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika tumeacha katika mji huo Ishara iliyo wazi kwa watu wanaotumia akili zao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tumeacha katika mji huo Ishara ilio wazi kwa watu wanao tumia akili zao.