نَتْلُوا۟ عَلَيْكَ مِن نَّبَإِ مُوسَىٰ وَفِرْعَوْنَ بِٱلْحَقِّ لِقَوْمٍ يُؤْمِنُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterTunakusomea katika habari za Musa na Firauni kwa Haki kwa ajili ya watu wanaoamini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniTunakusomea khabari za Musa na Firauni kwa Haki kwa ajili ya watu wanao amini.