caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 85

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:85

وَوَقَعَ ٱلْقَوْلُ عَلَيْهِم بِمَا ظَلَمُوا۟ فَهُمْ لَا يَنطِقُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kauli itawaangukia juu yao kwa vile walivyodhulumu. Basi hao hawatatamka lolote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kauli itawaangukia juu yao kwa vile walivyo dhulumu. Basi hao hawatasema lolote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70