caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 79

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:79

فَتَوَكَّلْ عَلَى ٱللَّهِ إِنَّكَ عَلَى ٱلْحَقِّ ٱلْمُبِينِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi mtegemee Mweneyezi Mungu; hakika wewe uko juu ya Haki iliyo wazi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi mtegemee Mweneyezi Mungu; hakika wewe uko juu ya Haki iliyo wazi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70