caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 78

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:78

إِنَّ رَبَّكَ يَقْضِى بَيْنَهُم بِحُكْمِهِۦ وَهُوَ ٱلْعَزِيزُ ٱلْعَلِيمُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Mola wako Mlezi atawahukumu kwa hukumu yake, naye ni Mwenye nguvu, ajuaye zaidi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Mola wako Mlezi atawahukumu kwa hukumu yake, naye ni Mwenye nguvu Mjuzi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70