وَإِنَّكَ لَتُلَقَّى ٱلْقُرْءَانَ مِن لَّدُنْ حَكِيمٍ عَلِيمٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika wewe unafundishwa Qur-ani inayotokana kwake Mwenye hekima, Mwenye kujua zaidi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika wewe unafundishwa Qur'ani inayo tokana kwake Mwenye hikima Mwenye kujua.