أُو۟لَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ لَهُمْ سُوٓءُ ٱلْعَذَابِ وَهُمْ فِى ٱلْـَٔاخِرَةِ هُمُ ٱلْأَخْسَرُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHao ndio watapata adhabu mbaya kabisa, na hao katika Akhera ndiyo watapata hasara zaidi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHao ndio watapata adhabu mbaya kabisa, na hao katika Akhera ndio watapata khasara zaidi.