caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 31

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:31

أَلَّا تَعْلُوا۟ عَلَىَّ وَأْتُونِى مُسْلِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMsinifanyie jeuri, na fikeni kwangu nanyi mmekwisha kuwa wenye kusalimu amri."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMsinifanyie jeuri, na fikeni kwangu nanyi mmekwisha kuwa wenye kusalimu amri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70