caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 30

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:30

إِنَّهُۥ مِن سُلَيْمَٰنَ وَإِنَّهُۥ بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa hakika, imetoka kwa Suleiman nayo hakika ni: "Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwingi wa kurehemu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniImetoka kwa Sulaiman nayo ni: Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70