caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 93

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:93

مِن دُونِ ٱللَّهِ هَلْ يَنصُرُونَكُمْ أَوْ يَنتَصِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBadala ya Mwenyezi Mungu? Je, wanawasaidia, au wanajisaidia wenyewe?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBadala ya Mwenyezi Mungu? Je! Wanakusaidieni, au wanajisaidia wenyewe?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70