caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 84

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:84

وَٱجْعَل لِّى لِسَانَ صِدْقٍ فِى ٱلْـَٔاخِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa unijalie nitajwe kwa wema na watu watakaokuja baadaye.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa unijaalie nitajwe kwa wema na watu watakao kuja baadaye.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70