caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 83

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:83

رَبِّ هَبْ لِى حُكْمًا وَأَلْحِقْنِى بِٱلصَّٰلِحِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMola wangu Mlezi! Nitunukie hukumu na uniunganishe na walio wema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMola wangu Mlezi! Nitunukie hukumu na uniunganishe na watendao mema.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70