caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 82

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:82

وَٱلَّذِىٓ أَطْمَعُ أَن يَغْفِرَ لِى خَطِيٓـَٔتِى يَوْمَ ٱلدِّينِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ambaye ndiye ninayemtumai kunisamehe makosa yangu Siku ya Malipo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ambaye ndiye ninaye mtumai kunisamehe makosa yangu Siku ya Malipo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70