إِنَّ فِى ذَٰلِكَ لَـَٔايَةً وَمَا كَانَ أَكْثَرُهُم مُّؤْمِنِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika katika haya zipo Ishara. Lakini wengi wao hawakuwa wenye kuamini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika katika haya zipo Ishara. Lakini wengi wao hawakuwa wenye kuamini.