أَوَلَمْ يَرَوْا۟ إِلَى ٱلْأَرْضِ كَمْ أَنۢبَتْنَا فِيهَا مِن كُلِّ زَوْجٍ كَرِيمٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, hawakuiona ardhi, ni mimea mingapi tumeiotesha humo, ya kila namna nzuri?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Hawakuiona ardhi, mimea mingapi tumeiotesha humo, ya kila namna nzuri?