caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 64

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:64

وَأَزْلَفْنَا ثَمَّ ٱلْـَٔاخَرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukawasongesha hapo karibu wale wengine.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukawajongeza hapo wale wengine.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70