caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 45

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:45

فَأَلْقَىٰ مُوسَىٰ عَصَاهُ فَإِذَا هِىَ تَلْقَفُ مَا يَأْفِكُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi Musa akatupa fimbo yake, nayo mara ikavimeza vile walivyovizua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMusa tena akatupa fimbo yake, nayo mara ikavimeza walivyo vizua.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70