caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 39

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:39

وَقِيلَ لِلنَّاسِ هَلْ أَنتُم مُّجْتَمِعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa watu wakaambiwa: Je, mtakusanyika?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa watu wakaambiwa: Je! Mtakusanyika?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70