فَجُمِعَ ٱلسَّحَرَةُ لِمِيقَٰتِ يَوْمٍ مَّعْلُومٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi wakakusanywa wachawi kwa ajili ya miadi ya siku maalumu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi wakakusanywa wachawi wakati na siku maalumu.