أَلَمْ تَرَ أَنَّهُمْ فِى كُلِّ وَادٍ يَهِيمُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, huwaoni kwamba wao wanatangatanga katika kila bonde?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Huwaoni kwamba wao wanatangatanga katika kila bonde?