caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 213

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:213

فَلَا تَدْعُ مَعَ ٱللَّهِ إِلَٰهًا ءَاخَرَ فَتَكُونَ مِنَ ٱلْمُعَذَّبِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi usimwombe mungu mwingine pamoja na Mwenyezi Mungu ukawa miongoni mwa watakaoadhibiwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi usimwombe mungu mwingine pamoja na Mwenyezi Mungu ukawa miongoni mwa watakao adhibiwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70