وَمَآ أَهْلَكْنَا مِن قَرْيَةٍ إِلَّا لَهَا مُنذِرُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala hatukuangamiza mji wowote isipokuwa ulikuwa na waonyaji.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala hatukuangamiza mji wo wote ila ulikuwa na waonyaji.