caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 184

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:184

وَٱتَّقُوا۟ ٱلَّذِى خَلَقَكُمْ وَٱلْجِبِلَّةَ ٱلْأَوَّلِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mcheni aliyewaumba nyinyi na vizazi vilivyotangulia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mcheni aliye kuumbeni nyinyi na vizazi vilivyo tangulia.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70