caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 183

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:183

وَلَا تَبْخَسُوا۟ ٱلنَّاسَ أَشْيَآءَهُمْ وَلَا تَعْثَوْا۟ فِى ٱلْأَرْضِ مُفْسِدِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala msiwapunje watu vitu vyao, wala msifanye jeuri katika ardhi kwa kufanya uharibifu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala msiwapunje watu vitu vyao, wala msifanye jeuri kwa ufisadi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70