caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 156

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:156

وَلَا تَمَسُّوهَا بِسُوٓءٍ فَيَأْخُذَكُمْ عَذَابُ يَوْمٍ عَظِيمٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala msimguse kwa wovu, ikawashika adhabu ya Siku Kubwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala ms!imguse kwa uwovu, isije ikakushikeni adhabu ya Siku Kubwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70