caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 10

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:10

وَإِذْ نَادَىٰ رَبُّكَ مُوسَىٰٓ أَنِ ٱئْتِ ٱلْقَوْمَ ٱلظَّٰلِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Mola wako Mlezi, alipomwita Musa, akamwambia: Nenda kwa kaumu madhalimu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Mola wako Mlezi, alipo mwita Musa, akamwambia: Fika kwa watu madhaalimu,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70