يُضَٰعَفْ لَهُ ٱلْعَذَابُ يَوْمَ ٱلْقِيَٰمَةِ وَيَخْلُدْ فِيهِۦ مُهَانًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAtazidishiwa adhabu Siku ya Kiyama, na atadumu humo kwa kufedheheshwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAtazidishiwa adhabu Siku ya Kiyama, na atadumu humo kwa kufedheheka.