وَٱلَّذِينَ يَبِيتُونَ لِرَبِّهِمْ سُجَّدًا وَقِيَٰمًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wale wanaokesha kwa ajili ya Mola wao Mlezi kwa kusujudu na kusimama.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wale wanao kesha kwa ajili ya Mola wao Mlezi kwa kusujudu na kusimama.