caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Furqaan, Aya 56

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 42 · 25:56

وَمَآ أَرْسَلْنَٰكَ إِلَّا مُبَشِّرًا وَنَذِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNasi hatukukutuma isipokuwa uwe Mbashiri na Mwonyaji.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNasi hatukukutuma ila kuwa ni Mbashiri na Mwonyaji.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70