caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Furqaan, Aya 43

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 42 · 25:43

أَرَءَيْتَ مَنِ ٱتَّخَذَ إِلَٰهَهُۥ هَوَىٰهُ أَفَأَنتَ تَكُونُ عَلَيْهِ وَكِيلًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, umemwona aliyeyafanya matamanio yake kuwa ndiyo mungu wake? Basi je, wewe utakuwa ni wakili wake?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Umemwona aliye yafanya matamanio yake kuwa ndio mungu wake? Basi je, wewe utakuwa ni wakili wake?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70