caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 94

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:94

رَبِّ فَلَا تَجْعَلْنِى فِى ٱلْقَوْمِ ٱلظَّٰلِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMola wangu Mlezi! Usinifanye katika hao watu madhalimu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMola wangu Mlezi! Usinijaalie katika watu madhaalimu hao.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70