قُلْ مَن رَّبُّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ ٱلسَّبْعِ وَرَبُّ ٱلْعَرْشِ ٱلْعَظِيمِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Ni nani Mola Mlezi wa mbingu saba na Mola Mlezi wa Kiti Kikuu cha Enzi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Ni nani Mola Mlezi wa mbingu saba na Mola Mlezi wa A'rshi Kuu?