قُل لِّمَنِ ٱلْأَرْضُ وَمَن فِيهَآ إِن كُنتُمْ تَعْلَمُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Ni ya nani ardhi na vilivyo ndani yake, kama nyinyi mnajua?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Ni ya nani ardhi na viliomo ndani yake, kama nyinyi mnajua?