caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 8

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:8

وَٱلَّذِينَ هُمْ لِأَمَٰنَٰتِهِمْ وَعَهْدِهِمْ رَٰعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ambao wanazitunza amana zao na maagano yao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ambao wanazitimiza amana zao na ahadi zao!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70