caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 77

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:77

حَتَّىٰٓ إِذَا فَتَحْنَا عَلَيْهِم بَابًا ذَا عَذَابٍ شَدِيدٍ إِذَا هُمْ فِيهِ مُبْلِسُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMpaka tulipowafungulia mlango wa adhabu, hapo ndipo wakawa wenye kukata tamaa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMpaka tulipo wafungulia mlango wa adhabu kali, hapo ndipo wakawa wenye kukata tamaa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70