caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 63

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:63

بَلْ قُلُوبُهُمْ فِى غَمْرَةٍ مِّنْ هَٰذَا وَلَهُمْ أَعْمَٰلٌ مِّن دُونِ ذَٰلِكَ هُمْ لَهَا عَٰمِلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterLakini nyoyo zao zimefunikwa hazitambui hayo, na wanavyo vitendo vinginevyo wanavyovifanya.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniLakini nyoyo zao zimeghafilika na hayo, na wanavyo vitendo vinginevyo wanavyo vifanya.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70